рџ ґ Live Hatua 5 Muhimu Za Mahusiano Na Mungu Sehemu вђњaвђќ Pr David

Finding Vba Signatures In Word Documents Sans Internet Storm Center
Finding Vba Signatures In Word Documents Sans Internet Storm Center

Finding Vba Signatures In Word Documents Sans Internet Storm Center About press copyright press copyright. About press copyright contact us creators advertise developers terms privacy policy & safety how works test new features nfl sunday ticket press copyright.

The Result Executing Final Result Of Aes Exe Issue 1 Bea Jae
The Result Executing Final Result Of Aes Exe Issue 1 Bea Jae

The Result Executing Final Result Of Aes Exe Issue 1 Bea Jae Endelea kufuatilia ibada ya juma la uwakili kutoka kanisa la waadventista wa wasabato dodoma kati. somo lilitolewa na pr david mmbaga.#savpupdate #maranatha. Jambo la kwanza tunaloweza kufanya ili kuwa na uhusiano wa karibu na mungu ni kufanya toba ya dhambi zetu kuwa tabia ya kila siku kwake. ikiwa dhambi ni kizuizi katika uhusiano wetu na mungu, basi toba huondosha kizuizi hicho. tunapokiri dhambi zetu mbele za mungu, anaahidi kutusamehe (1 yohana 1: 9), na msamaha ndio hurejesha uhusiano ambao. 4️⃣ ili kuwa na moyo wa kushukuru, tunahitaji kumrudia mungu kwa shukrani na sala mara kwa mara. kumbuka maneno ya mtume paulo katika 1 wathesalonike 5:17 18, "ombeni bila kukoma; shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya mungu kwenu katika kristo yesu." 5️⃣ jitahidi kutambua baraka ndogo ndogo katika maisha yako ya kila siku. Hakuna jambo gumu linalomshinda mungu. peleka mahitaji yako, furaha yako, huzuni zako, masumbufu yako, na hofu zako mbele ya mungu. huwezi kumwelemea kwa kumtwisha mzigo mzito; huwezi kumchosha. yeye awezaye kuhesabu idadi ya nywele za kichwa chako hayapuuzii mahitaji ya watoto wake.

Comments are closed.