Bi Harusi Mtarajiwa Alivyoenda Kumtafuta Bwana Harusi Mtarajiwa Youtub

bi harusi mtarajiwa alivyoenda kumtafuta bwana harusi m
bi harusi mtarajiwa alivyoenda kumtafuta bwana harusi m

Bi Harusi Mtarajiwa Alivyoenda Kumtafuta Bwana Harusi M Usisahau ku "subscribe" channel yetu kwa shughuli nyinginezo nyingi na nzuri.bi harusi mtarajiwa alivyoenda kumtafuta bwana harusi mtarajiwa#shughulizetu#sha. Wedding | send off | corporate eventsfor bookings: 255 716 700 658instagram: @mckatokisha : mc kato kisha please subscribelocation: dar es salaam, tan.

bwana harusi Alivyozimia Akiaga Mwili Wa Bibi harusi mtarajiwa
bwana harusi Alivyozimia Akiaga Mwili Wa Bibi harusi mtarajiwa

Bwana Harusi Alivyozimia Akiaga Mwili Wa Bibi Harusi Mtarajiwa Tukio la kukabidhiwa pete ya uchumb kwa aliyekuwa bwana harusi mtarajiwa, aman mollel aliyokuwa amemvisha mchumba wake rehema chao (39) aliyefariki kwa ajali. Amani, bwana harusi mtarajiwa, alijikuta akibeba mzigo mzito wa majonzi huku akiwa amebeba msalaba wa mfano wa kipenzi chake siku ambayo walitakiwa kufunga ndoa. tukio la huzuni lilijiri katika wilaya ya mwanga mkoani kilimanjaro, tanzania, ambako jamii ilikuwa imekusanyika kushuhudia sherehe iliyogeuka na kuwa karaha. Bibi harusi mtarajiwa, rehema chao alifariki dunia novemba 28, 2023 pamoja na mama yake mzazi, agness chao na mfanyakazi wa ndani wa mdogo wake, irene shija wilayani mwanga, baada ya gari alilokuwa akiendesha akitokea mkoani morogoro kwenye ‘send off’ yake kugongana na lori lililokuwa likitokea arusha. moshi. "msiba huu tumeupokea tofauti. Bibi harusi, rehema chao mkazi wa morogoro, amefariki dunia akiwa na mama yake mzazi na dada wa kazi wakati wakielekea moshi kwa ajili ya harusi iliyokuwa ifanyike jumamosi hii ya desemba 2, 2023. rehema na wenzake hao wamefariki kwenye ajali iliyohusisha gari lao dogo na lori kubwa wakiwa wanatokea mkoani morogoro kuelekea harusini moshi.

Comments are closed.