Elimu Sarufi

elimu Sarufi
elimu Sarufi

Elimu Sarufi Elimu | kiswahili | sarufi | ngeli ya li ya. ngeli ya li ya. ngeli hii huwa na aina tatu za nomino. nomino zote katika hali ya ukubwa k.m. jitu, toto, jia, buzi. 2. mwalimu tatu ni stadi wa sarufi. 3. kata pua uunge wajihi. 4. sijui lini kwani hakunitajia tarehe ya marejeo. 5. kitabu hiki changu chapendeza zaidi. c. kamilishi jedwali hili kwa kutaja nomino mguso na nomino dhahania. nomino mguso ni zile za kushikika au kugusika na nomino dhahania ni zile ambazo hazishikiki kamwe.

elimu Sarufi
elimu Sarufi

Elimu Sarufi Muhtasari wa ngeli. ukubwa na udogo. ngeli ya u u. ngeli ya li ya. ngeli ya u zi. maswali kadirifu. nafasi. kuacha nafasi ya kutosha baina ya neno moja hadi lingine. kamwe tusishikanishe maneno yasiyostahili wala tusikate maneno yasiyostahili. k.m. Elimu | kiswahili | sarufi | kiambishi na kirejelei. kiambishi na kirejelei. kiambishi na kirejelei hutumika kuonyeshea hali ya kumiliki. Sarufi. silabi ki ina matumizi mbalimbali kulingana na muundo wa sentensi. 'ki' ya wakati inatumika katika: i) wakati uliopita hali ya kuendelea k.m. walikuwa wakiimba kwa furaha. ii) wakati ujao hali ya kuendelea k.m. watakuwa wakiimba kwa furaha. iii) wakati timilifu hali ya kuendelea k.m wamekuwa wakiimba kwa furaha. Kuchukua irabu ya kwanza na ya mwisho ya kimilikishi na kuiunganisha na nomino miliki k.m mjomba wake – mjombawe, mama yako – mamayo. tahadhari: vimilikishi vyenye irabu tatu havitumiki katika vimilikishimikato k.m. mjomba wao, mama yao n.k. elimu | kiswahili | sarufi | vimilikishi mikato.

elimu Sarufi
elimu Sarufi

Elimu Sarufi Sarufi. silabi ki ina matumizi mbalimbali kulingana na muundo wa sentensi. 'ki' ya wakati inatumika katika: i) wakati uliopita hali ya kuendelea k.m. walikuwa wakiimba kwa furaha. ii) wakati ujao hali ya kuendelea k.m. watakuwa wakiimba kwa furaha. iii) wakati timilifu hali ya kuendelea k.m wamekuwa wakiimba kwa furaha. Kuchukua irabu ya kwanza na ya mwisho ya kimilikishi na kuiunganisha na nomino miliki k.m mjomba wake – mjombawe, mama yako – mamayo. tahadhari: vimilikishi vyenye irabu tatu havitumiki katika vimilikishimikato k.m. mjomba wao, mama yao n.k. elimu | kiswahili | sarufi | vimilikishi mikato. Sarufi: matumizi ya lugha. sarufi ni sheria, kanuni au taratibu zinazopaswa kufuatwa katika lugha fulani. kila lugha huwa na kanuni zake. katika sarufi tutazingatia sauti (utamkaji), aina ya maneno, upatanisho wa maneno kisarufi, muundo wa sentensi za kiswahili na kadhalika. ufuatao ni mukhtasari wa baadhi ya yale tuliyokuandalia katika. Insha class 7 kiswahili revision notes. download pdf for future reference get on whatsapp for 30 . mnyambuliko wa vitenzi. kauli ya kutendeshwa fanyisha. kauli ya kutendeta. sifa kutokana na vitenzi. tanakali za sauti. matumizi ya vihusishi ‘katika’ na viambishi tamati –ni’. alama za uakifishaji.

Comments are closed.