Jinsi Ya Kupika Supu Ya Nyama Ya Mbuzi Goat Soup

jinsi Ya Kupika Supu Ya Nyama Ya Mbuzi Goat Soup Youtube
jinsi Ya Kupika Supu Ya Nyama Ya Mbuzi Goat Soup Youtube

Jinsi Ya Kupika Supu Ya Nyama Ya Mbuzi Goat Soup Youtube Mahitajinyama ya mbuzi 1kggarlic 2 clovessalt to tastedry chilimixed herbsgingerblack pepper. Ugali wa kijani nyama choma kachumbali; chapati laini sana paratha very easy recipe; maandazi ya maziwa recipe ya mahamri swahili d pika chips mayai maarufu kama zege fries with jinsi ya kupika supu ya mbuzi goat soup easy r may (2) april (30).

jinsi ya kupika supu ya mbuzi goat soup Easy Recipe
jinsi ya kupika supu ya mbuzi goat soup Easy Recipe

Jinsi Ya Kupika Supu Ya Mbuzi Goat Soup Easy Recipe #mapishiyakiswahili #supu #supuyanyama website:rukiaskitchen instagram: rukias kitchenfacebook: rukias kitchen cookpad: rukias kitchenenglish recipe foll. Jinsi ya kupika supu ya nyama ya mbuzi goat soup. Supu ya nyama, ni pishi tamu, lenye virutubisho vingi na rahisi kupika, ambayo unaweza kupika kwa kutumia nyama yoyote ile uipendayo, iwe ni nyama ya ng’ombe, nyama ya mbuzi, au nyama ya kondoo. fuata hatua zifuatazo, ili kujifunza jinsi ya kupika supu hii ya nyama. 1.weka chumvi kwenye nyama kisha acha ikae dakika 15 kabla hujaibandika jikoni. chumvi ufanya nyama ichuje maji yake ya asili ambayo ndio hubeba ladha ya nyama na hufanya supu iwe nzito. 2.bandika nyama jikoni bila kuongeza maji kwanza. acha nyama ichemke kwa maji yake ya asili ili kuipa nafasi kuchuja maji mengine yaliyobaki ndani ya nyama.

Comments are closed.