Kwa Mara Ya Kwanza Aziz Kii Aonesha Mkataba Aliofunga Na Simba Leo

kwa Mara Ya Kwanza Aziz Kii Aonesha Mkataba Aliofunga Na Simba Leo
kwa Mara Ya Kwanza Aziz Kii Aonesha Mkataba Aliofunga Na Simba Leo

Kwa Mara Ya Kwanza Aziz Kii Aonesha Mkataba Aliofunga Na Simba Leo Prime. habari za uhakika ambazo mwanaspoti linazo ni kuwa, licha ya yanga kumuwekea mezani mkataba aziz ki, huku simba ikifanya hivyo kwa inonga kabla hawajaenda ivory coast kutumikia timu zao, bado hawajamwaga wino. mwanaspoti linafahamu kuwa, kwa vipindi tofauti inonga na aziz ki walitaka mazungumzo kwa ajili ya mikataba mipya yasifanyike. #simbasc #simba #simbaleo #simbatanzania #azizki #aziz #stephenazizki #clatouschama #chama #kapama #wydad casablanca #wydadathleticclub #wydad #alahly #jwane.

Prince Dube kwa mara ya kwanza aonesha mkataba aliofunga о
Prince Dube kwa mara ya kwanza aonesha mkataba aliofunga о

Prince Dube Kwa Mara Ya Kwanza Aonesha Mkataba Aliofunga о Alisema chama hawezi kukosa nafasi ya kucheza kwa sababu anaielewa mifumo yote na ni mzoefu hivyo kocha akiamua kutumia 4 4 2, 4 3 3, 3 5 2 ni mzoefu, anajua kipindi gani awe ndani na muda gani awe nje, hivyo ataisaidia yanga. "chama hata uwe na maxi nzengeli, aziz ki, pacome bado ukiwa na yeye pia unaweza kumtumia kulingana na mfumo unaotaka. Simba itakwenda kucheza mechi yake ya tamasha la simba day dhidi ya apr ya rwanda, agosti 3, uwanja wa benjamin mkapa, dar es salaam. tamasha hili mwaka huu litafanyika kwa mara ya 16 tangu kuanzishwa kwake mwaka 2009 na aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo kwa wakati huo, mzee hassan dalali. uongozi wa klabu ya simba kwa mara ya kwanza. Mbali na kufanya vizuri katika michuano ya ndani, simba imetikisa afrika kwa kucheza robo fainali ya ligi ya mabingwa afrika na kombe la shirikisho mara tano katika misimu sita iliyopita. upande wa ligi ya mabingwa ni 2018 2019, 2020 2021, 2022 2023 na 2023 2024 wakati kombe la shirikisho ikiwa 2021 2022. Itashuhudiwa kwa mara ya kwanza, yanga ikichezesha wachezaji wapya waliosajiliwa msimu huu, kama clatous chama aliyetokea simba, ambaye ataingia kwenye rekodi ya kucheza dabi akiwa na klabu zote mbili, prince dube aliyesajiliwa kutoka azam fc, duke abuya aliyetokea singida big stars, na aziz andambwile wa singida fountain gate.

Comments are closed.