Lawama Series Mzee Makoti Kimemsibu Nini Mama Matei Atamani Kurudi

lawama Series Mzee Makoti Kimemsibu Nini Mama Matei Atamani Kurudi
lawama Series Mzee Makoti Kimemsibu Nini Mama Matei Atamani Kurudi

Lawama Series Mzee Makoti Kimemsibu Nini Mama Matei Atamani Kurudi Usikose kuifatilia tamthilia ya lawama inayoruka kupitia "azamtvburudani" chaneli namba 103 #sinemazetu jumatatu mpaka alhamis saa 1 kamili usiku.#haikwepeki. Leo usiku kwenye lawama tabitha apatwa na pigo mama yake afariki. sakina baada ya kusikia ayubu kamuoa ndugu yake anapatwa na uchizi. matei.

lawama series Tabitha Na mama Mkwe Zimeiva mzee makoti atamani
lawama series Tabitha Na mama Mkwe Zimeiva mzee makoti atamani

Lawama Series Tabitha Na Mama Mkwe Zimeiva Mzee Makoti Atamani Leo usiku ndani ya lawama series hii sasa ni lawama!! ndani ya tamthilia bora ya lawama moto wa 'usaliti' umeendelea ku unguza maisha ya matei na. Hizi ndio lawama zenyewe sasa #lawamaseries #sinemazetu #hakikanizakwetu. Mzee mtata hakuwa na mpango na ahadi aliyowekeana na mama zubeda kipindi kile,alikuwa ameshaipotezea,ila alipomuona kaja pale kisa hamuoni lukas nyumbanui na yeye akaamua kuitumia ile kama fursa! akakubali kuwa amemchukua lukas kimazingara kwa sababu hakutimiza ahadi yao waliyokuwa wamewekeana!. Usikose kuifatilia tamthilia ya lawama inayoruka kupitia "azamtvburudani" chaneli namba 103 #sinemazetu jumatatu mpaka alhamis saa 1 kamili usiku.#haikwepeki.

Comments are closed.