Sisi Tunataka Kuwasha Mwenge Na Kuuweka Mlima Kilimanjaro Michuzi Blog

sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka mlima kilimanja
sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka mlima kilimanja

Sisi Tunataka Kuwasha Mwenge Na Kuuweka Mlima Kilimanja Maadhimisho ya kilele cha mbio za mwenge wa uhuru mkoani dar es salaam desemba 1, 2011. โ€œndio maana oktoba 1959 mwalimu nyerere alitamka namnukuu, โ€˜sisi watanganyika tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu ulete matumaini pale ambapo hakuna matumaini, upendo pale ambapo pana chuki, heshima ambapo pamejaa dharauโ€™,โ€ amesema magufuli.

michuzi blog Watanzania Wahamasishwa Kupigia Kura mlima kilimanjaro
michuzi blog Watanzania Wahamasishwa Kupigia Kura mlima kilimanjaro

Michuzi Blog Watanzania Wahamasishwa Kupigia Kura Mlima Kilimanjaro Major alex nyirenda akiuweka mwenge wa uhuru kilelleni kilimanjaro kwenye mkesha wa siku ya uhuru wa tanganyika desemba 9, 1961. katika picha hii iliyopigwa mwezi wa pili (february) mwaka huu, inamuonyesha major nyirenda akiwa hospitali jijini dar es salaam akihudumiwa na mkewe.hii ilikuwa ni kabla serikali haijaingilia kati na kumpeleka nchini. Kule kilimanjaro, tukio hilo halikujulikana maana yake sana hadi pale baba wa taifa, mwalimu julius nyerere, alipozungumza maneno yafuatayo kuhusu tukio hilo; ""tunataka kuwasha mwenge na kuuweka. "baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau" baada ya kutamka hayo mbele ya mwl.nyerere, ganze alikata roho na ndipo ukaanzishwa mwenge wa uhuru. Mwaka 1999 mwalimu nyerere alikufa akiwa na miaka 77 na taifa lilikuwa na miaka 38 ya uhuru na 77 38=115, namba aliyoiandika forojo ganze mkononi. forojo ganze; mwanzilishi wa mwenge wa uhuru. global publishers and general enterprises limited is a registered private company dealing in publishing of weekly swahili newspapers in tanzania, namely.

Comments are closed.