Wakazi Wa West Pokot Waandamana Wataka Serikali Kumrejeshea Gavana

wakazi Wa West Pokot Waandamana Wataka Serikali Kumrejeshea Gavana
wakazi Wa West Pokot Waandamana Wataka Serikali Kumrejeshea Gavana

Wakazi Wa West Pokot Waandamana Wataka Serikali Kumrejeshea Gavana Maelfu ya wakazi wa kaunti ya west pokot waliandamana huku wakifunga barabara kuu ya kitale kuelekea lodwar wakitaka serikali kumrejeshea gavana wao walinzi wake.tuma neno ‘news’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu. Baadhi ya wakazi wa west pokot wamemtaka naibu wa gavana katika kaunti hiyo kujitokeza kwani hawajamuona kwa miezi mingi. wananchi hao aidha wanamlaumu gav.

wakazi Wa West Pokot Waandamana Wataka Serikali Kumrejeshea Gavana
wakazi Wa West Pokot Waandamana Wataka Serikali Kumrejeshea Gavana

Wakazi Wa West Pokot Waandamana Wataka Serikali Kumrejeshea Gavana #ktnnews #ktnnewsdigital #ktnkenya #ktntv #ktnhome #kenyanews #genz welcome to the 24 7 ktn kenya news channel on – your trusted source for the latest news and updates in kenya and beyond. stay informed with our. Aliyekuwa gavana wa kaunti ya pokot magharibi john lonyangapuo amehimiza serikali kubadilisha mbinu ambazo inatumia kukabiliana na ujangili na wizi wa mifugo. Ukosefu wa umeme turkana: wakazi wa lorogon hawana umeme kwa miaka 30 wanaishi mpakani mwa pokot magharibi na turkana kijiji kilitoa ardhi kwa kampuni ya umeme kengen nyaya ziliwekwa miaka 2 iliyopita ila hakuna umeme #semanacitizen @swalehmdoe. Rai za amani west pokot: maskauti wataka wakazi wa bonde la kerio kudumisha amani. maskauti wataka misururu ya wizi wa mifugo kukomeshwa #semanacitizen.

Comments are closed.